Mwanamuziki wa Sweet Reggae wa siku nyingi, Gregory Isaacs , amefariki dunia nchini Uingereza muda mfupi uliyopita. Kwa mujibu wa taarifa fupi ya BBC iliyosikika jioni hii, mwanamuziki huyo amefariki hospitali alikokuwa anatibiwa. Nyimbo zilizompatia sifa mwanamuzki huyu ni nyingi na moja wapo ni
Night Nurse ambayo unaweza kuisikiliza hapo juu na kukumbuka mambo yalivyokuwa miaka ya 80.