Grok AI sasa kupatikana kama App ya kawaida.

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
Baada ya DeepSeek kuleta changamoto sasa Elon Musk kaamua Grok kupatikana kama Application ya kawaida, ambayo itapatikana kwenye App store zote.

 
Tunaisubiri JF AI itapendeza kama itaitwa Jamii AI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…