Group la Kisukari

Group la Kisukari

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Hello Wana Great Thinker, naombeni mwenye link ya group la wenye Kisukari aniunge please
, Anitumie link au number , shukrani sana wapendwa ,
 
Hello Wana Great Thinker, naombeni mwenye link ya group la wenye Kisukari aniunge please
, Anitumie link au number , shukrani sana wapendwa ,
+255 787 353 380 Miracle Diet.

Nimemuuliza kama naweza kushare namba yake amekubali. Yeye ni mtaalam na ameunda group la kupambana na kisukari....
 
Hello Wana Great Thinker, naombeni mwenye link ya group la wenye Kisukari aniunge please
, Anitumie link au number , shukrani sana wapendwa ,
Ungeomba msaada wa dawa za asili za kutibu tatzo zipo kibao.

Anyway pole sana sukari yako inasoma ngapi?
 
Hawataki dawa za asili mwaisa, wanataka CHANJO [emoji16]

Wanaamini insulini ni dawa na wanaitumia kwa wivu mkubwa [emoji16]
Dawa za asili si kitu kwenye wagonjwa kama haya ndugu zangu, tumia utumiavyo lakini kuenda hospital na kuanza dozi za kitaalamu ni kitu ambacho hakikwepeki,, Yani utatumia uwezavyo mwisho wa siku utakimbilia hospitalini maji yakishafika shingoni..

Ugonjwa wa kisukari Una weaken baadhi ya organs kutokufanya kazi Kwa ufasaha na mojawapo ni Figo sasa ukishaanza kuichanganyia dawa za kienyeji zisizo na dozi maalumu mara kikombe cha chai mara bakuli ndio kabisa unaua Figo lako kabla ya wakati
 
Back
Top Bottom