Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Usimtishe mkuu, kisukari ukiwa mwaminifu kwa afya yako unadunda tuDuh polee sana huo ugonjwa ni hatari sana πππ
Nitakufa nini mkuu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji36]Duh polee sana huo ugonjwa ni hatari sana [emoji24][emoji24][emoji24]
Hapana Mkuu ukifata masharti unaishi Mimi ni mgonjwa wa vidonda vya tumbo naishi kwa masharti now πππNitakufa nini mkuu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji36]
Umepima yule mdudu H, pailoriHapana Mkuu ukifata masharti unaishi Mimi ni mgonjwa wa vidonda vya tumbo naishi kwa masharti now [emoji24][emoji24][emoji24]
NdioUmepima yule mdudu H, pailori
+255 787 353 380 Miracle Diet.Hello Wana Great Thinker, naombeni mwenye link ya group la wenye Kisukari aniunge please
, Anitumie link au number , shukrani sana wapendwa ,
Ungeomba msaada wa dawa za asili za kutibu tatzo zipo kibao.Hello Wana Great Thinker, naombeni mwenye link ya group la wenye Kisukari aniunge please
, Anitumie link au number , shukrani sana wapendwa ,
Kupona kisukari ni rahisi sana.Nitakufa nini mkuu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji36]
mhHapana Mkuu ukifata masharti unaishi Mimi ni mgonjwa wa vidonda vya tumbo naishi kwa masharti now πππ
Hawataki dawa za asili mwaisa, wanataka CHANJO πUngeomba msaada wa dawa za asili za kutibu tatzo zipo kibao.
Anyway pole sana sukari yako inasoma ngapi?
Hahaa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Hawataki dawa za asili mwaisa, wanataka CHANJO π
Wanaamini insulini ni dawa na wanaitumia kwa wivu mkubwa π
Pole sana mkuu,Hello Wana Great Thinker, naombeni mwenye link ya group la wenye Kisukari aniunge please
, Anitumie link au number , shukrani sana wapendwa ,
Pole sana mkuu, imeanza lini?Kama kuna mtu ana group la watu wa pressure ya kupanda aniunge ndugu zangu
Dawa za asili si kitu kwenye wagonjwa kama haya ndugu zangu, tumia utumiavyo lakini kuenda hospital na kuanza dozi za kitaalamu ni kitu ambacho hakikwepeki,, Yani utatumia uwezavyo mwisho wa siku utakimbilia hospitalini maji yakishafika shingoni..Hawataki dawa za asili mwaisa, wanataka CHANJO [emoji16]
Wanaamini insulini ni dawa na wanaitumia kwa wivu mkubwa [emoji16]
Tatizo ni mtihani mzito kwa Mwanaume Bora Mwanamke Ila Mwanaume ukiugua Sukari ni bonge moja la mtihaniUsimtishe mkuu, kisukari ukiwa mwaminifu kwa afya yako unadunda tu