Kwanini matatizo yanayotokea wakati wa kuzaliwa mtoto yanayosababishwa na Rh factors kwamba kama mama ni Rh- na mtoto ni Rh+ hayawezi kutokea kama mama na mtoto wana different blood groups?
Kwamba labda mama ana blood group A na mtoto ana blood group.