Mkuu mbona hili suala la Damu Group tumelisha lizungumzia kwa kirefu wewe unarudisha nyuma hebu pitia hapa bonyeza hapaWadau naomba msaada wenu,kwenye ma group ya Damu kuna group la o- (O negative) huyu anaweza akamuongezea mtu mwenye damu group gani?
Nasumbuka sana na swali hili tafadhali anayejua naomba anijulishe pamoja na ma group mengine.
Rh -. Mara nyingi sana mwenye O Rh- anaweza kuwekewa Rh+ blood akaishi kwani mwili utajifunza kuanza kutengeneza Rh+.
pia kuna tabia nyingine ya O Rh ambayo ni mama mwenye rh- akitokea kupata ujauzito wa mtoto mwenye rh+ basi mtoto huyu atazaliwa kwani mwili wa mama utajitengenezea uwezekano wa kuztengeneza rh+. Lakin sas mama huyu hataweza tena kupata mtoto mwenye rh- hivyo kila akipata ujauzito mimba huaribika baada ya muda.