Grow your business

Toa maelezo hiki ni nini?
Ni utaratibu wa kuifanya biashara/kampuni yako iwe na viwango vya kimataifa kwa upande wa ubora kwenye menejimenti. Viwango hivyo.vinakupa faida tajwa hapo juu pamoja na zingine nyingi.
ISO 9001 inakuwezesha kuendesha biashara yako kikanuni bila kutegemea utashi wa mtu mmoja mmoja hasa kwenye kufanya maamuzi ya kimkakati.
 
Ndugu yangu, hivi hivyo ndivyo unavyofanya presentation ya product ya kampuni na kutaka kuiuza kwa watu?
 
Ndugu yangu, hivi hivyo ndivyo unavyofanya presentation ya product ya kampuni na kutaka kuiuza kwa watu?
Sio product ya kampuni mkuu. Wala hiyo/hizo standard haimilikiwi/hazimilikiwi na mtu.

Ni huduma au hitaji ambalo kampuni yako inafaa kuwa nayo.
Muhimu uwe na kampuni ambayo angalau ina mifumo kadhaa ya kiuendeshaji (departments and processes). Sasa ukitualika kwenye kampuni yako ndio utapata wasaa wa kujua angalau vya kutosha hiyo QMS ni kitu gani (via presentation)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…