pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Now now you are removing'i the foam of powder soap! πππππUnajifanya unajua kingereza ila mwisho wa siku umehamishiwa ukafundishe shule ya msingi wakati wale wanaounga unga ndio wamebakishwa kufundisha sekondari.
trump hakukosea wallahiπππππ
Ona unavyojidharau, ukiita mbeya shithole, so is Kenya, tena serikali yenu haikukemea kuitwa hilo jina.
trump hakukosea wallahiπππππ
There is tensions, danganya mburula wenzako. Unaogopa confrontation na Ug, you better be afraidPlease stop misleading people. There's no any tension between the two Heads of States and their respective Countries, only that His Excellency Presiden Paul Kagame has something else to attend to which is also very vital since he's now a African Union ( AU ) Chairman.
Nitafurahiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Si ndio marafiki zetu hawa. wacha tu watwangane.Hizi taarifa niliziona sehemu, tuombe sana amani itamalaki maana Rwanda na Uganda wanaweza kukinukisha.
trump hakukosea wallahiπππππ
Nitafurahiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Si ndio marafiki zetu hawa. wacha tu watwangane.
Sisi tunamtegemea Mungu. atatuepusha tu. wapigane tu, hao wote Ndugu. Wacha watiane adabu.Usiombe vita vya majirani maana hamtakaa kwa amani, kwanza mtegemee wakimbizi wengi na pia wahalifu wenye silaha za moto wataongezeka, kumbuka mnafanya biashara na nchi zote hizo, wakianguka kiuchumi mnaadhirika pia, so tumia akili kabla ya kushabikia vita.
My friend, skipping could be the exact word to use!!Please stop misleading people. There's no any tension between the two Heads of States and their respective Countries, only that His Excellency Presiden Paul Kagame has something else to attend to which is also very vital since he's now a African Union ( AU ) Chairman.
what were the criteria for transfer? tuanzie hapaUnajifanya unajua kingereza ila mwisho wa siku umehamishiwa ukafundishe shule ya msingi wakati wale wanaounga unga ndio wamebakishwa kufundisha sekondari.
The Africans
nikuripoti Uhamiaji wakutimue nchiniHalafu ukishaniona Wewe Mtanzania?
We ni fala hakukosea nn,hii kitu ilifanyika for the first time mbeya hata kama kwingineko duniani ilifanyika since pre Cambrian era,so they have the right and reason to celebrate maana ndo kwa Mara ya kwanza so hakuna shida
trump hakukosea wallahiπππππ
Which affair specifically?AU affairs.
Kenyans actually/specifically.The Africans
Nimeona Mlevi Uhuru Kinyasa Ameelekea humo kampala. JPM?
jaluo ,tialala tibiim πNimeona Mlevi Uhuru Kinyasa Ameelekea humo kampala. JPM?
Wakaonane na mwezie mzee Magu maana tunahitaji east africa ya win win situation.kikwetu kinyasa ni kaputulaNimeona Mlevi Uhuru Kinyasa Ameelekea humo kampala. JPM?
Wewe bwege nimekufatilia na nikajiridhisha ni mtanzania unayejifanya mkenyaAchana na huyo lofa chinkororo. Hata akili za machizi wa Mathare Mental Hospital hazifikii. Labda akichapwa transfer hadi Milembe ndo wataweza kuelewa shida zake, baada ya kumpima mkojo kwanza.
Maoni ya mtoto alietoka kuangalia muvie ya kivita.......Nitafurahiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Si ndio marafiki zetu hawa. wacha tu watwangane.