Hahaha, mimi ni mkenya halisi jombaa. Hasira za nini bana, sisi sote ni wenyeji wa Afrika Mashariki, bila ya lugha yetu tukufu ya Kiswahili, hapa mwendo ungekuwa sawa na ule wa mnara wa Babeli. Tupo kwenye mjadala tu, asikudanganye mtu kwamba nina chuki yeyote ile na nchi ya Tanzania.