Unapenda kuongeza maana na mifano mingi embu subiri muhusika alete tamkoKwamba ni chombo yake
ilibidi nkachungulie kwenye page yao ndo nkasnuka, kidogo nropokeHahaa it's real
wakiumia ndo watajijenga vizuri maumivu yanajengaKuna watu wataumia mkuu
Daah,huu ukorofi😁GSM kama liweza kukamilisha usajili wa Mawardat hawezi kushindwa kumsajili huyo Mo
Hapana ila shabiki mandazi wanataka kuleta sintofahamu embu waeleze kwa jinsi ilivyokua...Daah,huu ukorofi😁