GSM hawafai kudhamini timu

GSM hawafai kudhamini timu

frenk julius

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
377
Reaction score
242
Habar jf

Hawa GSM hawafai kudhamini timu yoyote hapa nchini, tumeshuundia miaka 3 walichokifanya ndani ya yanga ni ujaja jaja tu, Hatujawahi kuona yanga ikikaa miaka 3 ikiwa na mdhamini alafu ikakosa ubingwa

Matokeo mabovu ya timu zilizominiwa na GSM msimu huu ni mwendelezo wa jaja yao, mfano ni Namungo, hii timu haijawahi kufungwa gor 3 tena ndani ya Dk 20 tu

Ushauli wangu naomba mnaopata udhamini wa hawa jamaa mjitafakali mala mbili,

Naziona timu zote zilipokea pesa za mchongo kutoka GSM Kuna timu moja inashuka daraja moja kwa moja na zingine zitabaki kungana play off

Uzi huu naomba utuzwe na Kama Kuna mtu anabisha alete mkono
 
Nenda shule kafute kwanza ujinga ndio urudi JF kuandika
 
GSM ndie mwenye haki miliki ya Wachezaji waliosajiliwa Yanga.

Wameshamuuza Tuisila, Mwezi ujao pia watafanya Biashara ya wachezaji Mukoko na Aucho kisha watajitoa kufadhili vilabu na kubaki kuwa wadhamini wenza wa ligi kuu tu.
 
Pia GSM ndie mwenye haki miliki ya Wachezaji wanaosajiliwa Yanga.

Wamemuuza Tuisila, Mwezi ujao pia watafanya Biashara ya wachezaji Mukoko na Aucho kisha watajitoa kufadhili vilabu na kubaki kuwa wadhamini wenza wa ligi kuu tu.
Itakuwa safi sana
 
Ushauri unasema ushauli halafu unataka tukuzingatie
 
GSM ndie mwenye haki miliki ya Wachezaji waliosajiliwa Yanga.

Wameshamuuza Tuisila, Mwezi ujao pia watafanya Biashara ya wachezaji Mukoko na Aucho kisha watajitoa kufadhili vilabu na kubaki kuwa wadhamini wenza wa ligi kuu tu.
Hawa jamaa wakuja kuua mpira kabsa
 
Vp Simba nayo ilipofungwa ngao ya jamii ilikula posho nini ?
 
Umeeleweka,washaelewa wala usiogope mkuu wasikuzingue walanini.
 
Back
Top Bottom