GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Kwanza kabisa napenda niwatakie Sabbatical njema, pili leo ni Nyerere day, nitamuenzi baba wa Taifa kwa njia hii.

Kwanza naomba nikiri huyu Zari mimi namsikia jina tu sijawahi kujuwa hasa kwa hakika shughuri zake ni nini zaidi ya kujuwa ni hawara wa msanii Diamond that's it. Huwa sina muda wa kudiscuss drama za watu wa aina hii lakini kwakuwa hili la zari lipo in economics grounds naomba nitowe maoni yangu.

Kwa maoni yangu ni dharau kwa Watanzania GSM kumleta Zari kuzinduwa hilo duka lao la Danube nadhani kwa maoni yangu mtu sahihi walipaswa wamuite Diamonds kufanya uzinduzi huo

Kwakuwa Watanzania sasa hivi ni mashabiki ushuzi wa Team ushuzi hawawezi kunielewa wala kukubali kitendo hiki ni dharau kubwa imefanywa na GSM dhidi ya models wetu, kumleta mganda halafu utegemee wateja Watanzania huu ni ufala uliopitiliza.

Binafsi yangu natangaza rasmi boycott bidhaa za duka hilo la Danube kwa kitendo hiki cha kutowapa support models wetu kufanya jukumu hilo.
Tunao kina Mbwana Samatta, Flavian Matata, yupo Joti yupo Masanja, yupo mzee Majuto why Zari? Zari ni Celeb wa nini jameni naomba kujuzwa.
 
Kabisa
 
kampuni ni yao
wanamchagua mtu wao

anzisha duka lako afungue Ebitoke
Na watanunuwa wenyewe bidhaa zao hatupendi dharau siye.

Hawa shenzi GSM ndio wakwepa kodi wakubwa kupitia ile kampuni yao ya Home shopping center, sasa wamejifanya kuifunga ile wameibukia huku, tutawamulika hukohuko.

Uzalendo kwanza.
 
sababu ni moja tu...ni mpenzi sijui mke wa diamond....kama unavyojua dai ndio celeb mkubwa hapa Africa mashariki!.
yaani zari kabla ya dai huko insta alikuwa na followers hata elfu kumi hawafiki...ila alipotua ktk mikono salama ya dai watz walimfolo kama mvua na ndio maana akipost kitu comment 90% ni za kiswahili cha tz! wakati waganda hawazungumzi kiswahili
 
Kabisa mkuu
 
Tatizo bado liko palepale IQ za Watanzania ndio tatizo kubwa, kwahiyo huyu Zari ana benefit kwa Diamond out of uhawara wao?

Angalau umenifumbuwa macho nimeanza kuelewa maana mimi Insta nimejiunga kwa ajili ya yule dada yetu kipenzi ili nisipitwe na series zake na mitusi yake. Otherwise sina la zaidi kwenye Insta.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…