GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

Pambana na maisha yako kijana,achana na vitu visivyo na tija kwako, unajitesa bure kijana. Chuki ni mateso makubwa.
 
Pambana na maisha yako kijana,achana na vitu visibyo na tija kwako, unajitesa bute kijana. Chuki ni mateso makubwa.
Mimi nilishapambana siku nyingi kabla wewe haujaupata huu msamiati, sasa hivi naishi sina cha kupambania.

Uzalendo kwanza.
 
Na watanunuwa wenyewe bidhaa zao hatupendi dharau siye.

Hawa shenzi GSM ndio wakwepa kodi wakubwa kupitia ile kampuni yao ya Home shopping center, sasa wamejifanya kuifunga ile wameibukia huku, tutawamulika hukohuko.

Uzalendo kwanza.
Mmeandika wangapi post hii? Manake umeandika "hatupendi dharau siye"
 
Na watanunuwa wenyewe bidhaa zao hatupendi dharau siye.

Hawa shenzi GSM ndio wakwepa kodi wakubwa kupitia ile kampuni yao ya Home shopping center, sasa wamejifanya kuifunga ile wameibukia huku, tutawamulika hukohuko.

Uzalendo kwanza.
Jisemee mwenyewe,hii kauli yako usiiseme mbele ya watanzania utaumbuka,hawashikiwi dhamana hawa watu kama serikali yao ya ccm...
 
Tunajua wewe ni team hamisa ila unajifanya sijui mzalendo Mara nani sijui bhana eeeh we kama hutaki kwenda kununua bidhaa zao piga kimya tuliza mshono Kwanzaa hela yenyewe huna [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
.....unamlipa wewe !? Anae chagua nyimbo ndo anaye mlipa mpiga zumari, wahenga walinena !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…