GSM Mmesahau Kuweka Mabango?

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
4,369
Reaction score
5,248
Naona hapa uwanja wa Ally Hassan Mwinyi Tabora kwenye hii mechi ya Kmc na Simba, hamna bango hata moja au ndo mmeona msihangaike kwenye mechi za Simba kuyaweka? Kwa jinsi Mashabiki wa Simba walivyo jaa, wangeweza hata kuyachana, Bora mmejiongeza!
 
Ungesahihisha kwanza mistake za maisha yako nazani ungekuwa unamiliki ata baiskeli sahivi.
Kiswahili sahihi ni hiki: ungesahihisha kwanza makosa yako nadhani ungekuwa unamiliki hata baiskeli Sasa hivi. Inaonekana wewe ni mmiliki wa Banda la kuuza nguo za mitumba na ndio linalokupa kiburi cha kuharibu lugha
 
Kwenye mabango ya GSM nasikia ndipo anaweka hirizi siku hizi.
Wachawi ndio wanaoweka mabango
 
Naona hapa uwanja wa Ally Hassan Mwinyi Tabora kwenye hii mechi ya Kmc na Simba, hamna bango hata moja Au ndo mmeona msihangaike kwenye mechi za Simba kuyaweka? Kwa jinsi Mashabiki wa Simba walivyo jaa, wangeweza hata kuyachana, Bora mmejiongeza!
Kwenye mechi yoyote ya ligi kuu, kwa uchache kunatakiwa kuwa na mabango kadhaa kuwekwa uwanjani.
1. Bango la shirikisho.
2. Bango la logo ya ligi
3. Bango la wadhamini wa ligi (mdhamini mkuu, mdhamini mwenza, mdhamini anayeonyesha ligi kwa TV na mtangazaji kwa njia ya redio).
4. Bango la mdhamini binafsi wa klabu mwenyeji.

Katika hayo yote hapo juu, sio kazi ya mdhamini kwenda uwanjani "kusimika mabango".
Hiyo ni kazi ya timu mwenyeji wa mechi husika.

Mdhamini anazikabidhi timu zote kupitia bodi ya ligi, kitu kinachoitwa "vifaa" yakiwemo mabango, nembo n.k.

Kazi ya mdhamini inaishia hapo.

Kama uko serious kwenye huo uzi wako, nadhani unatakiwa kulifahamu hili.
Vinginevyo uwe ulikua unatania tu.
 
Nasikia wanaume wahuko ndo walivyo! Yaani wanapend kujilegeza kike kike tu! Nachukizwa sana na mambo haya
Hata awe mwanamke, tutamsema akiharibu lugha hata iwe ni kiingilish muulize Hannah alivyosikitika mtu wake tulivyomsema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…