Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
wazo la kutengeneza jesy ya club ya yanga ni zuri na la ubunifu mkubwa ambalo hata huyo manji alishindwa. Jesy zina quality kubwa na za kweli kabisa. hakuna upatikanaji wa holela.
ushauri wangu Kwa GSM
Tengenezeni na jezi za watoto kwa wingi sana
Tengenezeni na vifaa vingine vyenye ubora ule kama scarfs, khanga, tracksuits nk
Tengenezeni utaratibu wa kusafiri na timu (mkiwa na jezi) au hata kuwapa viongozi waendapo mikoani.Pia nembo yenu isiwe kubwa kuliko ile ya club
Wafikieni mpaka wale wasiokuwa na uwezo wa tsh 50000 ambao ni wengi na waaminifu kwa club (wale ndugu zetu wa Tandale, keko machungwa na manzese kwa mfuga mbwa)
Kusini Yanga ina hazina kubwa sana ya mashabiki, wakati wa msimu umewadia andaeni mkakati wa kwenda kuuza jezi zetu huko.
Kaka BUMBULI na wenzio hii ni fursa
Nawasilisha.