Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Unadhani wao hua Wana shida? YANI watu Wana mabilioni kwenye akaunti wabwatukiane kama makapuku? Mtabwatukiana mafukara tu kama akina ngara23 na Labani og na wengine akina MwananchiOG ila sio matajiri wa hizi timu hata huyo injinia wa mchongo hua anaongea kisiasa kuwapumbaza tu mashabiki mana anajua huo ndio mkate wake wa kila siku
Utajiri ubaki kwao, Furaha ibaki kwetu. INATOSHA! Lengo la maisha ni FURAHA, utajiri bila furaha una maana gani?Unadhani wao hua Wana shida? YANI watu Wana mabilioni kwenye akaunti wabwatukiane kama makapuku? Mtabwatukiana mafukara tu kama akina ngara23 na Labani og na wengine akina MwananchiOG ila sio matajiri wa hizi timu hata huyo injinia wa mchongo hua anaongea kisiasa kuwapumbaza tu mashabiki mana anajua huo ndio mkate wake wa kila siku
Huyo Try again anafanya biashara gani?Unadhani wao hua Wana shida? YANI watu Wana mabilioni kwenye akaunti wabwatukiane kama makapuku? Mtabwatukiana mafukara tu kama akina ngara23 na Labani og na wengine akina MwananchiOG ila sio matajiri wa hizi timu hata huyo injinia wa mchongo hua anaongea kisiasa kuwapumbaza tu mashabiki mana anajua huo ndio mkate wake wa kila siku
Ndio hivyo Sasa ujue mjini hapa mipango ya pesa kwa matajiri ipo kibao..yeye anaendelea kununua mandinga , mwingine anaumia kapuku, Kuna shabiki Ile siku ya derby alifariki sjui alipigwa na shoti ya umeme alilalia sjui nguzo ya umeme , jiulize anakumbukwa hata au hao matajiri wenye hizi timu do they give a damn?Huyo Try again anafanya biashara gani?
Huwa namuona na mandinga makali makali tu.
Endelea kujipa moyo na misemo ya kimasikini. Eti utajiri bila furaha...we umeona gsm anakenua Hadi jino la mwisho unaliona au try again ana bashasha nyingi , mapesa yote hayo uache kua na furaha utakua mwendawazimu.Utajiri ubaki kwao, Furaha ibaki kwetu. INATOSHA! Lengo la maisha ni FURAHA, utajiri bila furaha una maana gani?
Kama jinsi wanavyofurahi ndivyo nami nafurahi na Yanga yangu, shida iko wapi?Endelea kujipa moyo na misemo ya kimasikini. Eti utajiri bila furaha...we umeona gsm anakenua Hadi jino la mwisho unaliona au try again ana bashasha nyingi , mapesa yote hayo uache kua na furaha utakua mwendawazimu.

Wenyewe mabilionea wanakumbatiana kwa furaha [emoji23][emoji23]Ukikutana sasa na mashabiki kapuku wanavyobishana sasa mechi hairudiwi, mkirudia mechi viongozi mtuachie timu,, yaan unaweza kuhisi watu vichaa unajua.