Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yetu machoAnazidi kuaribu.
Yetu machoPicha ya samaki hiyo, si angetafuta namna ya kuwanyorisha hizo hela kuliko kuwasumbua wachezaji kwenye mechi ambayo wote tunajua matokeo yake yapoje
Hawateleta tu washapata sababu🤣🤣🤣🤣🤣Simba Sc Hamna Timu Ya Kuifunga Yanga... Narudia Tena HAMNA TIMU YA KUIFUNGA YANGA!!
Propoganda hizoAnazidi kuaribu.
Propaganda za kitoto hizo wanamfanyia anaepigania vita kubwa ya kuwapa nafasi nne CAFCL.Propoganda hizo
Hata mimi najua hivyo.Simba Sc Hamna Timu Ya Kuifunga Yanga... Narudia Tena HAMNA TIMU YA KUIFUNGA YANGA!!
Haina haja ya kuweka hela nyingi wakati uhakika wa ushindi upoNdogo saana,angeweka m300 Kama kawaida yake
Naona jf imeingiliwa na wapumb.avuMdhamini wa klabu ya Yanga amewahidi wachezaji wa Yanga milioni 116 iwapo watawafunga Simba mechi ijayo
NB:GSM ni mdhamini mwenza wa NBC premiere league
Yetu machoView attachment 2036548
Aliskika kolo mmoja 😀😀😀Duh,, huyu jamaa atatuharibia mpira wetu
Hatutaki visingizio baba akimuahidi mwanae kumnunulia zawadi kama akifaulu mtihani.Picha ya samaki hiyo, si angetafuta namna ya kuwanyorisha hizo hela kuliko kuwasumbua wachezaji kwenye mechi ambayo wote tunajua matokeo yake yapoje
Kwahiyo tuwaachie mshinde?Propaganda za kitoto hizo wanamfanyia anaepigania vita kubwa ya kuwapa nafasi nne CAFCL.