Yanga hii ya Sasa inacheza mpira wa kiwango kizuri Sana kupita enzi za Manji.
Tatizo lao ni Moja tu wanalinganisha matokeo yao na matokeo ya Simba. Simba ikishinda nao wanataka washinde, hilo ndilo tatizo lao. Mkwasa alitakiwa awe kocha mkuu wa Yanga. Anauwezo mkubwa wa kuhamasisha wachezaji kucheza katika kiwango cha Juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo Simba hawanunui na kupulizia vyumba dawaKiukweli mdhamini mpya wa club ya Yanga anajitahidi sana kutimiza majukumu yake lakini kuna sehemu bado hajafika na sidhani kama atafika.
Yanga ilipata mafanikio chini ya Manji sababu ya ununuzi wa mechi na siyo juhudi zao uwanjani, ndiyo maana game za ndani walikuwa ni kupiga tu ila akitoka nje anapigwa na hafiki popote.
Tunachoshukuru kwa sasa Yanga wanacheza kwa uwezo wao wote wa uwanjani na matokeo yanaotokea siyo kocha mbovu au kikosi kibovu ila hapo ndiyo mwisho wao.
Asante sana hakuna marefu yasiyo na ncha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo Simba hawanunui na kupulizia vyumba dawa
kilicho akilini kitumie
Hv unajua siasa za mpira wa bongo hasa timu za Simba na yangaSimba haijawahi kununua game,ww angalia uwezo wa ndani hauna tofauti na wa nje kote inafanya vizuri, Yanga imefanya lini hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Manji meondoka sasa amekuja Mo kuua soka la Tanzania.Sasa tufanyeje maana soka letu likisimama nchale,likikaa nchale
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo Simba hawanunui na kupulizia vyumba dawa
kilicho akilini kitumie
Na ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba Yanga walibebwa kupindukia enzi za malinzi.Malinzi ni mmoja wapo wa watu wa hovyo kabisa kuwahi kuongoza TFF.
Sasa hivi yanga wana haha licha ya kuendelea kubebwa wakifikiri walichokuwa wakipanga gizani wakati ule huenda sasa na Simba wanafanya vile.
Lakini ukiangalia mpira tu utaona ukweli maana mpira ni mchezo wa wazi,hakuna cha longo longo.
Sent using Jamii Forums mobile app