Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nashangaa. Anaangusha kicheko hapa sababu ya vitu vidogo ilhali wenzake wanaomboleza .223 wamepumzishwa makaburini. Wallahi kama akili huuzwa tungechanga tununulie huyu angalau moja aweze kufikiriWatanzania wanaomboleza, wewe Mkongoman hutulii hata siku moja bila kuiwaza Kenya.
Kweli kabisa hizo ni sare za GSU kitengo cha Kenya Police huyo banyamulenge ameona hizo combat, akajua ni KDF. Ndio shida ya copy and paste kutoka kwa wakenya kule twitter bila ya kuelewa kiingereza wala kinachoongelewa. Hivi niulize, GSU pia imekuwa disbanded kama A.P?point of correction GSU