GSU at work๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Watanzania wanaomboleza, wewe Mkongoman hutulii hata siku moja bila kuiwaza Kenya, wengine wapo kwenye siku nne za maombolezo wewe unahangaika na kuteseka ukitafuta habari za Wakenya.
 
Watanzania wanaomboleza, wewe Mkongoman hutulii hata siku moja bila kuiwaza Kenya.
Ndio nashangaa. Anaangusha kicheko hapa sababu ya vitu vidogo ilhali wenzake wanaomboleza .223 wamepumzishwa makaburini. Wallahi kama akili huuzwa tungechanga tununulie huyu angalau moja aweze kufikiri
 
point of correction GSU
Kweli kabisa hizo ni sare za GSU kitengo cha Kenya Police huyo banyamulenge ameona hizo combat, akajua ni KDF. Ndio shida ya copy and paste kutoka kwa wakenya kule twitter bila ya kuelewa kiingereza wala kinachoongelewa. Hivi niulize, GSU pia imekuwa disbanded kama A.P?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ