Kuliko san andres?nilimuua Trevor, ila game tamu sana hii
ah thubutu, gta v ina activities nyingi sana , achilia mbali graphics yakeKuliko san andres?
hili gemu lilinishinda kabisa kucheza, ila kuna jamaa angu alicheza mpaka akamuua Trevornilimuua Trevor, ila game tamu sana hii
mie niliimaliza kwa kumuua huyohuyo Trevorhili gemu lilinishinda kabisa kucheza, ila kuna jamaa angu alicheza mpaka akamuua Trevor
mimi nipe Fifa aiseemie niliimaliza kwa kumuua huyohuyo Trevor
hii game hapana aisee niliivulia kofia
naamka saa 10 alfajiri niko mezani, ghafla unakuta saa 7 mchana hii hapa
hapa na kule, saa 3 usiku hii hapa siku imeisha,
tuko tofauti aisee, mimi ni mzee wa open world gamesmimi nipe Fifa aisee
andreas haifikii hata nusu ya V kwa ukubwa wa ramani/details, graphics, side-missions, etcIla GTA San Andreas itabaki Bora kati version za GTA ingawa graphics za ps2