Guardian la Ijumaa 4-May-2012 kuna tetesi wametangaza kazi za Bandari Tanzania......

Guardian la Ijumaa 4-May-2012 kuna tetesi wametangaza kazi za Bandari Tanzania......

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
1,363
Reaction score
223
Guardian la Ijumaa 4-May-2012 kuna tetesi wametangaza kazi za Bandari Tanzania......

Mwenye gazeti atujulishe je hizo kazi zipo kwenye gazeti hilo au aliyeniambia hakuwa na uhakika?

Tusaidiane hii taarifa.
 
Wametangaza nafasi za:
1 Senior network admnistrator.
2 Senior system admninstrator.
3 Senier database adminstrator.

Kwa habari zaid tembelea Tayoa employment portal.
Nimeshindwa namna ya kukopi na kuleta humu si unajua tena hi tech.
 
aksante mkuu
 
Back
Top Bottom