M mzee wa njaa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 1,363 Reaction score 223 May 6, 2012 #1 Guardian la Ijumaa 4-May-2012 kuna tetesi wametangaza kazi za Bandari Tanzania...... Mwenye gazeti atujulishe je hizo kazi zipo kwenye gazeti hilo au aliyeniambia hakuwa na uhakika? Tusaidiane hii taarifa.
Guardian la Ijumaa 4-May-2012 kuna tetesi wametangaza kazi za Bandari Tanzania...... Mwenye gazeti atujulishe je hizo kazi zipo kwenye gazeti hilo au aliyeniambia hakuwa na uhakika? Tusaidiane hii taarifa.
Mkare_wenu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 1,714 Reaction score 448 May 6, 2012 #2 ni kweli nimeziona
M mzee wa njaa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 1,363 Reaction score 223 May 6, 2012 Thread starter #3 Mkare_wenu said: ni kweli nimeziona Click to expand... Aina zipi hizo kazi?
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 May 6, 2012 #4 Wametangaza nafasi za: 1 Senior network admnistrator. 2 Senior system admninstrator. 3 Senier database adminstrator. Kwa habari zaid tembelea Tayoa employment portal. Nimeshindwa namna ya kukopi na kuleta humu si unajua tena hi tech.
Wametangaza nafasi za: 1 Senior network admnistrator. 2 Senior system admninstrator. 3 Senier database adminstrator. Kwa habari zaid tembelea Tayoa employment portal. Nimeshindwa namna ya kukopi na kuleta humu si unajua tena hi tech.
WA MAMNDENII JF-Expert Member Joined Jun 5, 2010 Posts 344 Reaction score 58 May 6, 2012 #5 Mdanganyika 1 said: Wametangaza nafasi za: 1 Senior network admnistrator. 2 Senior system admninstrator. 3 Senier database adminstrator. Kwa habari zaid tembelea Tayoa employment portal. Nimeshindwa namna ya kukopi na kuleta humu si unajua tena hi tech. Click to expand... aksante mkuu
Mdanganyika 1 said: Wametangaza nafasi za: 1 Senior network admnistrator. 2 Senior system admninstrator. 3 Senier database adminstrator. Kwa habari zaid tembelea Tayoa employment portal. Nimeshindwa namna ya kukopi na kuleta humu si unajua tena hi tech. Click to expand... aksante mkuu
Vitendo JF-Expert Member Joined Oct 23, 2009 Posts 582 Reaction score 103 May 7, 2012 #6 Senior Network Administrator,Senior System Administrator & Senior Database Administrator | TAYOA Employment Portal
Senior Network Administrator,Senior System Administrator & Senior Database Administrator | TAYOA Employment Portal