Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mzee wa Mabifu Guardiola ameamua Joe Hart awe kipa wa chaguo la pili , baada ya leo tena kumchomesha mahindi kwenye benchi .
Ikumbukwe kwamba hata ule mchezo wa kirafiki dhidi ya Arsenal hali ilikuwa hivihivi , swali ni je Joe Hart atakubali kuchomeshwa mahindi na kupoteza namba kwenye timu ya Taifa ?
Yetu macho .