Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni yapi makosa ya Joe Hart ?Mimi huwa naona Caballero yuko vizuri tu. Kama hatafanya makosa ya kizembe itabidi tu Joe Hart atafute timu ingine
Ni yapi makosa ya Joe Hart ?
Guardiola anafahamika kwa mabifu yasiyo na kichwa wala miguu , kama hakumtaka Hart si angemwambia atafute timu tu ?mkuu mtoa mada JOE HART NI KIPA MZURI sasa huyu kocha anasema hivi anapenda golikipa anayeUNGANA NA MABEKI KUOKOA MPIRA kwa mfano unakumbuka mechi ya kombe la dunia baina ya Argentina na Ujerumani ilitokea shambulizi langoni mwa Ujerumani kijana HIGUANI aliingia ndani ya 18 huku walinzi wa Ujerumani wakiwa wameduwaa yule golikipa wao NEUVER alijitoa muhanga kwa kutoka golini kwenda kupambana na Higuani matokeo yake golikipa alifanikiwa kuzima ndoto za Higuani kupata goli hapa makipa ambao angetamani apate ni kama kipa wa Atletico ,kipa wa manchester.
mkuu hawa ni binadamu sio malaika hivi fikiria mtu kama JOSE kwa maneno anayompa Juani Mata unawaza huyu anamatatizo gani kichwani.Guardiola anafahamika kwa mabifu yasiyo na kichwa wala miguu , kama hakumtaka Hart si angemwambia atafute timu tu ?