Guardiola aliposhindwa mujibu swali la Henry

Guardiola aliposhindwa mujibu swali la Henry

BigBro

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
3,585
Reaction score
11,601
Thierry Henry alimuuliza Pep Guardiola ni timu gani Bora kwake aliyotwaa nayo mataji matatu kwa msimu kati na Manchester City na Barcelona. Hichi ndio alichojibu Guardiola.

1705501862510.jpg
 
Soka ni lile lile la Guardiola, anachofundiaha ni kile kile tu ila kwangu BARCA ilikuwa bora zaidi ikichagizwa na ubora wa wachezaji binafsi, MESSI, INIESTA, XAVI huwapati man city.

Mwalimu anafundisha kile kile ila darasa la mwaka huu A nyingi la mwaka fulani A chache.
 
De Brune
 
Itakuwa Barca na kwenye mpira sizani itatokea timu inayo cheza kama Barca ya Pep,wale jamaa walikuwa wanakupiga na kudominate kila kitu.
 
Kwamba de bruyne ndio ana ubora wa iniesta!? Ama anaweza kukuoa kile alichokuwa anakifanya xavi ama de bruyne ni daraja la messi!? Kiposition na kazi de bruyne anachukua kazi ya iniesta na mara moja moja xavi..
Ila de bruyne hayupo kabisa daraja la iniesta, sio kwamba de bruyne ni mbovu ama nabeza uwezo wake, la hasha ila hafikii ubora wa iniesta. Sidhani kama kila mmoja kwenye pick yake, kuna kocha atamuweka iniesta benchi ancheze de bruyne.
 
Back
Top Bottom