De BruneSoka ni lile lile la Guardiola, anachofundiaha ni kile kile tu ila kwangu BARCA ilikuwa bora zaidi ikichagizwa na ubora wa wachezaji binafsi, MESSI, INIESTA, XAVI huwapati man city.
Mwalimu anafundisha kile kile ila darasa la mwaka huu A nyingi la mwaka fulani A chache.
Kwamba de bruyne ndio ana ubora wa iniesta!? Ama anaweza kukuoa kile alichokuwa anakifanya xavi ama de bruyne ni daraja la messi!? Kiposition na kazi de bruyne anachukua kazi ya iniesta na mara moja moja xavi..De Brune