Guardiola hajui tafsiri ya sheria ya offside

Guardiola hajui tafsiri ya sheria ya offside

the muter

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
1,347
Reaction score
1,828
Jana kuna goli walifunga man city, kwa benardo silva kupiga shuti na na kumaliziwa na sane. Man city wakidhani ni goli refa alilikataa goli hali iliyoleta tafrani mpaka Pep guardiola akatolewa kwenye benchi la man city.

Ukweli ni kwamba ilikua ni clear offside labda Guardiola haijui vizuri sheria ya offside

kipa akiwa katoka golini na golini kukawa na wachezaji wawili mshambuaji na beki, Yule mshambuliaji anakua kwenye offside position.

Offside is one of the laws of association football , codified in Law 11 of the Laws of the Game . The law states that a player is in an offside position if any of their body part except the hands and arms is in the opponents' half of the pitch and closer to the opponents' goal line than both the ball and the second-last opponent [1] (not necessarily the goalkeeper). Being in an offside position is not an offence in itself; a player who was in an offside position at the moment the ball last touched, or was played by a team mate, must then become involved in active play in the opinion of the referee, in order for an offence to occur. When the offside offence occurs, the referee stops play and awards an
indirect free kick to the defending team from the place where the offending player became involved in active play.
 
Re play ilivyorudiwa wale wachambuzi waliopo studio super sports walisema hakuna offside na karibu asilimia 90 yao ni wachezaji wa zamani na wana mafunzo ya ukocha!wewe umefika level gani kwenye football?au kawaida yetu wabongo ku google na kukariri
 
....Mkuu huyu jamaa ndiyo mchambuzi wetu kijiweni kwetu Mbagala Chalambe!...usimchukulie poa aisee...ha ha
 
Either hukuona goli lengewe au hujui nini unaongea

Lile goli halikuataliwa sababu ya offside bali sababu Sterling (kama sikosei ni yeye) alimpiga Milner kwenye mguu kwa nyuma kuuchukua mpira ndo Sane akafunga.

Ni wazi kumchezea mchezaji from behind ni kosa ila ile ilikua a very soft challenge, swali ni je kama ingekua katikati ya uwanja angeita faulo?

Nimefurahi city kutoka ila lile ni goli halali, ni muda VAR zianze kutumika UEFA.

Pep na yule ref wana uhasama toka pep akiwa Barca. Wanajuana kwa vilemba.

Madrid tunabeba ndoo tena hakuna namna.
 
Pale ni offside, Sheria inataka lazima kuwe na beki mmoja na kipa au mabeki wawili waliovunja offside ya mshambuliaji. Ukiangalia sterling alibaki na beki mmoja golini kwa kuwa kipa alikuwa mbele zaidi ndio maana ikawa offside. Kwa hiyo Sheria inataka lazima mshambuliaji awe nyuma wachezaji wawili wa timu pinzani ndio Hakuna offside. Otherwise ile ni offside.
 
Either haukuangalia mpira au haumjui Sterling
 
Tatizo wanaangalia mpira vibanda umiza kelele mtindo mmoja hawasikilizi maelezo ya football pundits lakini wakitoka hapo wanajifanya wajuaji

Hicho ndicho kinachonifanya nikatae kuangalia mpira bar au ibanda umiza. Napenda sana kuangalia mpira home ili nisikilize vizuri commentators wanapotoa maelezo ya kila tukio kwenye mpira. Ndio maana mpira ambao unatangazwa kwa lugha nyingine tofauti na Kiingereza huwa siangalii kabisa maana nakosa utamu wa uchambuzi kutoka kwa footbal pundits.
 
Kinachoangaliwa ni sheria ya mpira au wachambuzi wa Supersport?
Sheria za mpira zinatafsiriwa na nani?au unadhan wachambuzi wa SS ni kama akina Kumwembe hata ligi daraja la nne au hajawahi kucheza?Google ni akina nani walikua wanachambua game la jana!unadhani ligi zilizoanzisha uamuzi wa video ni wajinga?refarii ni Binadamu alichemka mtu anayeona replay anayejua sheria za mpira anaona kwa ufasaha hata yule refa akiona replay atajishangaa unless kama haujawahi kuona contrevisial decision kwenye soccer!inatokea so usilete hizo
 
Ile ni offside kama mnaona mlionewa tukutane mahakamani.
 
Tatizo wanaangalia mpira vibanda umiza kelele mtindo mmoja hawasikilizi maelezo ya football pundits lakini wakitoka hapo wanajifanya wajuaji

Mkuu hata tukisikiliza wachambuzi lugha haipandi.

Ila pale mimi sikuelewa kabisa refa kukataa lile goli, nadhani iliwapunguza sana moto Man City ila kama refa angekubali lile goli leo tungekuwa tunaongea mengine maana jamaa walikuwa na moto si wa kawaida.
 
Back
Top Bottom