Guardiola hana kosa Aguero ndio katibua

Guardiola hana kosa Aguero ndio katibua

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habar wadau

Kila kona ni malalamiko leo mikeka imechanika na mbaya zaid game ya simba vs yanga imepigwa chin na kiingilio ushalipia toka saa 2 asubuh watu wapo uwanjan wakasema saa 1 gafla wakasema hakuna kitu halaaaaa

Ebu twende kwenye mada ukifuatilia media za nje watu wanamlaumu guardiola kupanga kikos cha ajabu mtu km sterling na aguero kuwekwa ndan ili hali akijua combination aliocheza na PSG ilifanya vzr sn

Mm binafs sipingan nae ila kwa chelsea hata kikos cha leo kilitosha kabisa kuichapa game ilianza poa kabisa chelsea ikijua kabisa wao wanasubiri bahat tu walishajua kuwa city ni bora zaid kuliko wao mechi ikaenda wakapigwa moja mechi ikawa poa tu mmmh gafla penalt wakampa aguero jamaa kapiga kifala
 
Ndo uwezo wake wote huo, sa angefanyaje tena.
 
Back
Top Bottom