Mess ana akili sana.ndo maana mwenzake messi haendi kule
EPL noma sana. Timu ya tatu kule bottom inakufunga wewe ulie juu, unaetaka ubingwa, na ushindi wake wala hauzuii isishuke.Alizoea Spain ligi ya timu tatu German ya timu mbili,siku zake zinaweza kuanza kuhesabika pale Ethad.
No way out akubali matokeo tu kwenye mpira mwenye Mbinu kali ndo anashinda na kuna wachezaji kaz yao ni kutafutia wenzao redcard tuMe nahisi hajampa mkono kwa kuwa cesc ndie aliesababisha fernadinho apewe red card, ni wazi fabregas alimtafutia jamaa card kwakuwa walikuwa wameshapanic na ile faulo ya aguero, cesc alimchapa kibao fernadinho jamaa akapanic then cesc akawa mpole kabisa anamuacha jamaa afanye anavyotaka, bahat mbaya wote refa na linesman hawakuona nini chanzo hivo wakadili na mchezaji wa pep, So kile kitendo hakikumfurahisha pep
Na kuna mwehu anaitwa Juan Sbastian Veron, nae alitua Man U lakini alikiona cha moto, kidogo baadae alivoenda Chelsea ndio aliweza japo kidogo.Kuna Beki zina Sifa sana Epl kukuvunja wao hawaoni shida ukutane na timu kama stoke city the potters,West bromwich Messi anaweza akakaa msimu mzima bila kutupia muulize Mateja Kezman Na Robihno watakwambia
Huyu jamaa c alitoka Lazio ya italia Daa tukadhan tumelamba bonge la kiungo na ule upara wake kumbe hamna kitu ligi ya manguvu mengi ileNa kuna mwehu anaitwa Juan Sbastian Veron, nae alitua Man U lakini alikiona cha moto, kidogo baadae alivoenda Chelsea ndio aliweza japo kidogo.