SUMMARY YA WOLVES Vs CITY DK 30 ZA MWANZO
1. Ederson atolewa kwa kadi nyekundu
2. Aguero akapigwa sub ambayo kwa wengi ilionesha ni kichekesho kumpisha Bravo
3. VAR ikawazawadia city penati
4. Stering akapiga lakini kipa akaokoa
5. VAR ikasema hataaa sikubaliani na hiyo okoa ya kipa kwa vile kulikuwa na mwingiliano (encroachment kwa kimombo)
6. VAR ikawazawadia tena man city penati nyingine
7. Stering tena akaipiga na kipa akaokoa kwa kuitema
8. Mtemo ukafikia miguuni mwa Stering na kufunga goli
Bado najifikiria ule mpira usingemrudia stering VAR ingesemaje?