jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 507
Mwaka 2018 wakala wa Yaya Toure alisema kua"Miungu ya kiafrika haitamuacha Guardiola ashinde CL miaka ijayo hii Itakua Kama laana ya kiafrika nawaambieni mda tu ndo utaongea kama nipo sahihi au laa"
Leo guardiola kapoteza fainali ya UEFA dhidi ya Chelsea naona Kama laana ya kiafrika imemshukia kweli Guardiola na maneno ya jamaa yana ukweli.
Leo guardiola kapoteza fainali ya UEFA dhidi ya Chelsea naona Kama laana ya kiafrika imemshukia kweli Guardiola na maneno ya jamaa yana ukweli.