Guardiola na laana ya wachezaji wa Kiafrika

jiwe gizani

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
380
Reaction score
507
Mwaka 2018 wakala wa Yaya Toure alisema kua"Miungu ya kiafrika haitamuacha Guardiola ashinde CL miaka ijayo hii Itakua Kama laana ya kiafrika nawaambieni mda tu ndo utaongea kama nipo sahihi au laa"

Leo guardiola kapoteza fainali ya UEFA dhidi ya Chelsea naona Kama laana ya kiafrika imemshukia kweli Guardiola na maneno ya jamaa yana ukweli.

 
Hiyo laana ya miungu wa kiafrika kwanini ilishindwa kumzuwia asichukue EPL? Hiyo miungu ya Kiafrika kwanini isiisaidie Africa kuchukua World cup? Kama kuna Miungu ya Kiafrika ina maana ipo pia miungu ya Kichina,Kizungu,kiarabu.......So,kuna miungu mingapi Dunia hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…