Gudluck Gozbert ni kichwa

Peter anajua sana kuimba. Angeweza jitihada kwenye mazoezi kama anavyoimba angekuwa mwembamba kama Omondi.
🤣 🤣 🤣 🤣 nadhani mwili wake ni genetic inheritance. Unene wa namna ile si rahisi sana kuupnguza hata ishinde njaa. By the way ni kati ya vocalists ninaowakubali sana kwenye hii fani
 
🤣 🤣 🤣 🤣 ukiacha ubonge, Msechu ni mwanamuziki si wa kubabaisha, achilia mbali kwenye nyimbo za maombolezo, hata kwenye bongo flava
Yule ni vocalists Tu , Hana consistent nzuri kwenye mashairi , Sawa na ruby ..... technology kubwa ya vocal kwenye kuingiza sauti studio inafanya watu wa namna hii wawe less considered.....

Uwezo wa kutunga mashairi ni criteria nyingine pamoja na management Bora , zaidi ya hapo aendelee kuuza migebuka Tu toka kigoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…