gudnyt mpenzi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
kuna watu waliskia hili neno baada ya miezi mitatu ama sita tu ya ndoa yao na leo wengine wana miaka kadhaa awajui neno gudnyt kwa wapenzi wao pengine ujaanza ama kumekucha chuma akikaliki jifanye mjinga hata ukipewa mgongo wa nne mpe gudnty jamani
kwa wewe usietarajia kabisa leo naomba nikupe gudnyt all jamani
Mungu awape wenza wa kuwasemesha hata kidogo
usikumwema
REMEMBER BETTER IS NOT GOOD ENOUGH BEST IS YET TO COME
KEEP FAITH IN JESUS
HAPPY NEW YR
 
Umetumia kiswahili ila kimekuwa kigumu utadhani umetumia lugha zaidi ya 5
 
nami ngoja niwape gud9 wanajf wote

Halafu aliyeanzisha neno 'Gud9' nadhani hakuwaza kuwa haileti maana ya goodnight..maana japokuwa ilitakiwa iwe kifupisho yet haileti maana ya goodnight...ila wengi wanaipenda dont know why kwakweli...
 
kiuandishi wa ajabuajabu wa kitanzania hamna asiyeelewa hapo
 
kiuandishi wa ajabuajabu wa kitanzania hamna asiyeelewa hapo

Sio Tanzania tu, hiyo ni intaneshino abriviesheni mpaka usa, canada e.t.c google 4 abrvtn utaona..ni hayo tu.
 
Dah humu JF sometime kuna utani wa ngumi aisee....
Poa mkuu, usiku mwema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…