GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
nangalieni sana dada zangu kuna wanaume "kantangaze" usiombe aku gegede..atamwambia kila mtu "aaargh huyo mi tayari, wa baridi kama nini" au "yule mtoto nimemla jana tu mtamu sana asikwambie mtu aisee" hivyo unapopita pita mbele zetu tayari tunakujua.
halafu wanaume wana namna hii wapo makini sana wakati wa game utakuta anakuchunguza chunguza una alama gani visible maeneo yako nyeti ili akibishiwa tu aseme " unakataa kuwa sijamla chini ya tako yule dada ana alama ya kuungua na moto" au kwenye paja lake ana baka kubwa limekaa kama ramani ya pemba" hawa wanaume wa hivi wakati anajifanya kukulamba au kukunyonya papuchi yako kumbe anatembeza tembeza macho aone una alama gani ili kuwapa ushahidi washkaji zake kijiweni.
dada zangu muwe makini sana. kuna watu wanatembea na mihuri...hawa jamaa sisi huwa tunawaita wapiga chapa wa serikali au wapiga chata. anakusoma mwili wako ulivyo na hachelewi kusema "yule demu ziwa la kushoto ni kubwa kuliko la kulia" au kwenye shavu lake.....
epukeni hawa watu.