Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kampuni ya laundry kenya ilikuwa inaweka hayo mabango 2022Kweli Sijaelewa
Ooohhh okay So ni Toa Nguo, hao madobi wakazifue. Okay okayKuna kampuni ya laundry kenya ilikuwa inaweka hayo mabango 2022
Hayo maneno 'toa nguo nakuja' yamekaa kingono kwahiyo unavuta attention za watu kirahisi
Watu wakiona kitu kipya kinawavuta zaidi
View attachment 3066475
View attachment 3066476
ndioOoohhh okay So ni Toa Nguo, hao madobi wakazifue
Kuna kampuni ya laundry kenya ilikuwa inaweka hayo mabango 2022
Hayo maneno 'toa nguo nakuja' yamekaa kingono kwahiyo unavuta attention za watu kirahisi
Watu wakiona kitu kipya kinawavuta zaidi
View attachment 3066475
View attachment 3066476
Yes Ili u create buzz lazima ufanye watu wawe curiousni ubunifu mzuri wa kutangaza biashara