Gues who?

Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2007
Posts
461
Reaction score
4
Do you know the guy?

 

Attachments

  • gues.jpg
    34.6 KB · Views: 196
????????????
your quotation is misjudging the words of the sacred book.........upanga maana yake ni ukali wa neno la mungu kupamba na mafisadi, waharibifu,madhalimu wasiotaka haki,na waovu wanaomuasi Mungu ambao Yesu anamaanisha hakuja kuwapa amani na afueni ya kuendelea na madhambi hayo
 
........as for the picture it must be one of the fissads in tz who is hiding his face not to be apprehanded.
 
This is the guy with his fellow fisadi... haha

 

Attachments

  • Bush.jpg
    44.9 KB · Views: 170

Ahsante bwana na mimi nakubali kwa ufahamu huo. Nabii wa Mwenye ez Mungu, Yesu hakukusudia upanga kwa maana awe anauwa watu. Lakini watu wengine wana fahamu tofauti maana wanafikiria kuwa aliposema sijaja kuleta Amani ndio hakuja kuleta amani.

Ni lazima wafahamu kuwa Yesu na Muhammad (Rehema na Amani za Mwenye ez Mungu juu yao) hawakuja kuondoa amani duniani bali ni kuileta, kuondosha dhulma, kupigana na dhulma, kupigana na maadui wanaojaribu kuondosha Amani katika Ulimwengu.

Ahsante sana
 
Bush amedata



















.
 

Attachments

  • bushh.gif
    47.6 KB · Views: 118
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…