Guess the Lyrics(Bahatisha Mashairi):Its A Game

Mr.Nice
 
Here is the rilics.........Guess the song...

'When brothas make babies, and leave a young mother to be a pappy
And since we all came from a woman
Got our name from a woman and our game from a woman
I wonder why we take from our women
Why we rape our women, do we hate our women?
I think it's time to kill for our women
Time to heal our women, be real to our women
And if we don't we'll have a race of babies
That will hate the ladies, that make the babies
And since a man can't make one
He has no right to tell a woman when and where to create on'
 
Duh!ngumu kumeza
 
Keep Your Head Up-
2Pac
 
[emoji445]wabongo wa majuu hamna upendo mnajigawa
Hawaamini kwenye kutengeneza Kiba ama Diamond wawili wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mmoja awe dili[emoji445]
 
ahahahahah,mzee unauwa hizi ngoma za enzi za miaka ya black box huko enzi hizo Rocks music inabamba on dancing floor sio rahisi mtu kugundua rilics....but ni old school moja matata sana "the whisper" rock steady
 
Fid Q- sumu
Ooh Yes

Jibu na hii

"[emoji445]Mgonjwa anaomba apone mapema wakati muuza jeneza alikulilia Mapema,
Muuguzi anasema baba huyu mgonjwa usimponye mapema nina shida na kiasi cha hela kwa ajili ya mama[emoji445]
 
Well!
Thank you
 
Kala Jeremiah - Jaribu Kujiuliz[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Kala jelemiah - ungekuwa mungu
Ooh Yes

Jibu na hii

"[emoji445]Mgonjwa anaomba apone mapema wakati muuza jeneza alikulilia Mapema,
Muuguzi anasema baba huyu mgonjwa usimponye mapema nina shida na kiasi cha hela kwa ajili ya mama[emoji445]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…