Mkuu,Biashara ya Guest inalipa saanaa.Tatizo ipo karibu sana na DHAMBI,kwani inatumiwa zaidi kama faragha ya Uzinzi wa wenyeji hivyo basi kupoteza dhana nzima ya nyumba ya kulala Wageni .
inakuwa nyumba ya muda mfupi mfupi ya kujifichia wenyeji.na hapo sasa ndipo dhambi inapoanza.kwani unakuwa ume FACILITATE uzinzi na matokeo yake huwa ni ndoa kuvunjika,watoto waliotungiwa gesti na vurugu nyinginezo.
angalizo: Siyo kila gesti ni ficho la wazinzi ,Zipo guest house ambazo ni makini na hazitoi huduma za Fasta Fasta.
Je upo tayari kubeba hizo dhambi kila siku to the next generation?au utalifungia macho na kusema Sambi sote Zao wenyewe