Unaposema zanzibar,natmahi unamaanisha Unguja?mimi nipo Pemba ila sina detail za guest za Unguja,kwa pemba zipo guest nzuri tu za bei hizo.Karibu visiwaniWadau bado nasubiri jibu! Kweli hakuna member alaiyeko znz?
Kokoni Ipo Stone town nyuma tu ya NBC TSHS 35,000 ila kama una mzigobei ina double.
[TD="class: mtB, width: 151"] |
Yapatikana Maisara pale karibu na CCM Kisiwa Ndui, kuna baa kaaribu na nyama choma. Wanyamwezi kibao. Bofya hapa utapata Contacts za Guest na Hotel Kibao: Zanzibar Commission for Tourism | Hotels and Guest House |
Inaitwaje mkuu? Na je si mbali na mjini ( sehemu maduka mengi yaliko)? Asante