GUEST HOUSE INAUZWA BUGURUNI SOKONI

GUEST HOUSE INAUZWA BUGURUNI SOKONI

Aloyce Mkwizu

Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
70
Reaction score
53
Guest house inauzwa buguruni sokoni.
Zipo 2, zote zinauzwa million 120.
Zote zina vyumba zaidi ya 9 some self contained some not.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na simu namba, 0742930901 au 0754677838

Unaweza wasiliana na mwenye guest directly kwa simu namba 0767234545 KIGOMA GUEST HOUSE
 

Attachments

  • IMG20190622121620.jpg
    IMG20190622121620.jpg
    270.5 KB · Views: 60
  • IMG20190622122840.jpg
    IMG20190622122840.jpg
    109.5 KB · Views: 63
  • IMG20190622123215.jpg
    IMG20190622123215.jpg
    139.3 KB · Views: 60
  • IMG20190622123931.jpg
    IMG20190622123931.jpg
    186.3 KB · Views: 61
  • IMG20190622130350.jpg
    IMG20190622130350.jpg
    189.5 KB · Views: 62
Guest house inauzwa buguruni sokoni.
Zipo 2, zote zinauzwa million 120.
Zote zina vyumba zaidi ya 9 some self contained some not.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na simu namba, 0742930901 au 0754677838

Unaweza wasiliana na mwenye guest directly kwa simu namba 0767234545 KIGOMA GUEST HOUSE
Buguruni ya Kigoma au ya Dar!?
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Watu wa Kigoma bhana.. Tv na decoder imezingirwa na ulinzi mkali hata ukubwa wa screen umepungua.

Nilijua hizi tabia ziko Kigoma kumbe hadi Buguruni zimefika!!!!
 
Zote zinauzwa milion 120! Yaani kila moja million 60 au kila moja ni hiyo million 120 mimi sijaelewa vizuri kipengele hicho.
Samahani Sababu za kuuza ni nini?
 
Kwa buguruni hiyo guest unapiga short time buku 5 kwa Mwaka mmoja unahesabu faida tu! Buguruni naikubali sana!
 
hii si ndo ilikua inaitwa SEWA GUEST HOUSE ?, dah nishawai piga hat trick umo
 
Mkuu ukifika M 85 nitafute ili nitimize malengo yangu
 
Tuliokaa buguruni hii guest imetusaidia sana...buku 5 short time
 
Uyu mleta taarifa mbona aji na mrejesho zote 2 ndio 120m au kwa kila moja
 
inavyumba zaida ya 9 ndo nini?? unafanya biashara au maonyesho??
 
Nimeipenda tv ukubwa wake na ilivyofungiwa.
 
Hivi ukinunua hii guest unanunua na dhambi zake? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom