Mbona hata zile za kanisa kule uhuru hostel moshi, msimbazi centre, mbagala spiritual na hata TEC Kurasini watu wanamegana kama kawa! Mtu unajiandikisha peke yako, halafu mkitoka dinner mnaingia wawili kunako room, hakuna anayeuliza wala nini. Hiyo geresha tu.
Mnachukua kila mtu chumba chake halafu usiku mtambelea wala haina shida. Watu tumewahi kulala kwenye hosteli za masista wa Katoliki, mlinzi akala rushwa na gemu ikapigwa usiku kucha kama kawaida tu! Cheti cha ndoa my ass!!
sweetheart........
Duh! watu mna mbinu duh!!!Mnachukua kila mtu chumba chake halafu usiku mtambelea wala haina shida. Watu tumewahi kulala kwenye hosteli za masista wa Katoliki, mlinzi akala rushwa na gemu ikapigwa usiku kucha kama kawaida tu! Cheti cha ndoa my ass!!
Wanavitambuaje vyeti vya ndoa?? Wanajuaje mimi ndie fulani ambaye jina lipo kwenye cheti?
Wanaruhusiwa wanawake wa wanawake??
Kwani kila mmoja akilipia chake lakini mkazukiana usiku wanakubana vipi?
Si kwamba mapenzi yote yanafanyika gesti...
Labda itasaidia tuu kupunguza sio kuzuia, watu sasa watalazimika kulaminate vyeti vyao vya ndoa na kutembea navyo kwa vile wahusika wakuu wa matumizi ya gesti ni wenye ndoa zao, na vyeti havina picha za watu, hivyo mimi leo nitaingia na Mwajuma kwamba ndiye mke wangu, kesho na Mwanaidi na keshokutwa na Mwazani, nitaendelea hivyo hivyo na Mwantumu..Mwantanga..Mwanahamisi, Mwasiti etc etc.
Mnachukua kila mtu chumba chake halafu usiku mtambelea wala haina shida. Watu tumewahi kulala kwenye hosteli za masista wa Katoliki, mlinzi akala rushwa na gemu ikapigwa usiku kucha kama kawaida tu! Cheti cha ndoa my ass!!
Dah mkuu hang over hata Bajaj nazo zingekuwa na tinted.
Nakupata mzee wa tinted for privacy
Not kwa Tanzania hii inayoghushi hadi muhuri wa IKULU!! Vingeghushiwa tu !! tena nafikiri ndio ingekuwa biashara inayolipa kuliko zote
Nani alikudanganya guest house ndiyo sehemu pekee watu wanamegana?
Mpwa una hangover au?
watu watatengeneza vyeti vingi na muhuri, na wanakuwa wanatembea na kamera na printa,Dah kwa bongo hii ufujaji itakithiri wale jamaa zangu wa Gerezani pale watakuwa wanapiga bao sana.