Guest

Guest

Habari!

Poleni na mihangaiko, mi ni mgeni kwa group naomba mnipokee. Naipenda Jamii forums kwasababu inaelimisha na kuburudisha pia.

Ahsante
Tumekupokea karibu, kabla ya yote usajiliwe kwanza kwenye nyuzi mbalimbali
 
Habari!

Poleni na mihangaiko, mi ni mgeni kwa group naomba mnipokee. Naipenda Jamii forums kwasababu inaelimisha na kuburudisha pia.

Ahsante
Ongezea nyama kijana ili tukubandike cheo cha "ukuu" na wewe uanze kuitwa "mkuu". Halafu picha yako ya kipaimara iweke hapa tuione vizuri! Pia ni vyema kutuambia umri wako, umepata division ngapi form six

(Mods msinilime ban tafadhari[emoji23])

Halafu la mwisho, ushawahi kula tunda kimasihara? Kama bado humu hapakufai rikiboy
 
Luhali unaonekana unanidhamu sana, ubaki hivyohivyo.
karibu Sana.
utajionea mengi
nimeipenda hiyo avatar
 
Luhali unaonekana unanidhamu sana, ubaki hivyohivyo.
karibu Sana.
utajionea mengi
nimeipenda hiyo avatar
Hata na mimi nilikuja nikiwa na heshima zaidi yake ila leo hii kichwa kimejaa mawazo ya mbususu tu[emoji23][emoji23]

Hivi huyu padre mgeni hata mbususu anaijua kweli!!?[emoji28]
 
Huyu ni mpya kabisa, ndio kapata smartphone. Jinsi alivyojitambulisha kwa heshima hivyo na kutoa sababu kabisa za kuipenda JF kama anaomba kazi.
Akija kuzoea zoea baada ataanza matusi kuwa yeye JF kitambo🤣
Unanifaham
 
Back
Top Bottom