Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
[emoji23][emoji23][emoji23] Na mpwayungu village Zee Korofi na kenny mtanashati ,au basi nisije kulimwa banKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
UnakaaribishwaHabari!
Poleni na mihangaiko, mi ni mgeni kwa group naomba mnipokee. Naipenda Jamii forums kwasababu inaelimisha na kuburudisha pia.
Ahsante