obedileonard
Member
- Aug 18, 2015
- 22
- 1
Karibu mkuu!
Umeanza kwa kasi mkuu.
Karibu mkuu!
Umeanza kwa kasi mkuu.
hahahhh kwann ase....
Kwani wewe ulipojiunga hakukukaribisha?
Au ulingia bila hodi.
khaa!!! Nigonge hodi mara ngapi?? Kila nikibadili Id nigonge hodi si itakuwa shida.
Hizo mbwembwe ulizoingia nazo kama wazee wa Hip Hop ya Bongo.