Guide book ya TCU imeondoa equivalent criteria kwa wenye Diploma mbali mbali?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Nimepitia guide book ya admission ya mwaka 2024/25 nimeshindwa kuielewa maana haina equivalent qualification kwenye program mbali mbali zaidi ya kuzungumzwa kiujumla jumla tu na ukienda kwenye program mahususi huoni vigezo vya diploma.Je mmefuta na kuzuia watu wa Diploma kusoma degree?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile ap
Huwa wanatoa mbili tofauti, ya wale wa form 6 na diploma, nenda kwenye website yao utazikuta
 
Nimepitia guide book ya admission ya mwaka 2024/25 nimeshindwa kuielewa maana haina equivalent qualification kwenye program mbali mbali zaidi ya kuzungumzwa kiujumla jumla tu na ukienda kwenye program mahususi huoni vigezo vya diploma.Je mmefuta na kuzuia watu wa Diploma kusoma degree?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kuna special kwa ajili ya diploma cheki kwenye website ya TCU
 
Ipo ya diploma na ndo mi nimeitumia. Kwa kawaida wanatiaga mbili, ya form six na equivalent qualifications or diploma 👇👇
 
Attachments

Back
Top Bottom