Huwa wanatoa mbili tofauti, ya wale wa form 6 na diploma, nenda kwenye website yao utazikutaNimepitia guide book ya admission ya mwaka 2024/25 nimeshindwa kuielewa maana haina equivalent qualification kwenye program mbali mbali zaidi ya kuzungumzwa kiujumla jumla tu na ukienda kwenye program mahususi huoni vigezo vya diploma.Je mmefuta na kuzuia watu wa Diploma kusoma degree?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile ap
Kuna special kwa ajili ya diploma cheki kwenye website ya TCUNimepitia guide book ya admission ya mwaka 2024/25 nimeshindwa kuielewa maana haina equivalent qualification kwenye program mbali mbali zaidi ya kuzungumzwa kiujumla jumla tu na ukienda kwenye program mahususi huoni vigezo vya diploma.Je mmefuta na kuzuia watu wa Diploma kusoma degree?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ipo ya diploma na ndo mi nimeitumia. Kwa kawaida wanatiaga mbili, ya form six na equivalent qualifications or diploma ππ