Guide book ya Tcu inatoka lini?

Guide book ya Tcu inatoka lini?

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Naomba mwenye ufahamu anisaidie majibu, maana muda unazidi kwenda tu
 
So...kila anaeomba TCU hakufanya vizuri wengine tulikosa mkopo tuka Post-pone Ila mwaka huu nasubr kwa nguvu jmn
 
Naomba mwenye ufaham anisaidie majibu,maana muda unazid kwenda tu
Kwa nn uctumie guide book ya 2019/2020,maana huwa azibadiliki sana.Kama unataka kucheck vyuo,courses,pamoja na cfa za kujiunga kwa kila chuo.
 
Back
Top Bottom