44mg44 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2019 Posts 2,158 Reaction score 2,186 Jul 7, 2020 #1 Naomba mwenye ufahamu anisaidie majibu, maana muda unazidi kwenda tu
Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,493 Reaction score 5,591 Jul 7, 2020 #2 Umefaulu mitihan yako ya foundation?
M Ma-chemist Member Joined May 11, 2020 Posts 36 Reaction score 15 Jul 7, 2020 #3 So...kila anaeomba TCU hakufanya vizuri wengine tulikosa mkopo tuka Post-pone Ila mwaka huu nasubr kwa nguvu jmn
So...kila anaeomba TCU hakufanya vizuri wengine tulikosa mkopo tuka Post-pone Ila mwaka huu nasubr kwa nguvu jmn
Kyamtwala JF-Expert Member Joined Sep 18, 2014 Posts 252 Reaction score 150 Jul 7, 2020 #4 44mg44 said: Naomba mwenye ufaham anisaidie majibu,maana muda unazid kwenda tu Click to expand... Kwa nn uctumie guide book ya 2019/2020,maana huwa azibadiliki sana.Kama unataka kucheck vyuo,courses,pamoja na cfa za kujiunga kwa kila chuo.
44mg44 said: Naomba mwenye ufaham anisaidie majibu,maana muda unazid kwenda tu Click to expand... Kwa nn uctumie guide book ya 2019/2020,maana huwa azibadiliki sana.Kama unataka kucheck vyuo,courses,pamoja na cfa za kujiunga kwa kila chuo.